Usain Bolt fainali ya mita 100 ya mashindano ya IAAF yanayofanyika jijini Beijing, China.

Hata hivyo, amefanikiwa kushinda kwa tofauti ya sekunde moja tu dhidi ya mpinzani wake Justin Gatlin wa Marekani.
Bolt ameshinda kwa sekunde 9.79 huku Gatlin akimaliza kwa sekunde 9-80, jambo ambalo ni nadra kwa Bolt anapokuwa mashindanoni.

Pamoja na kushangiliwa sana, lakini wengi walianza kuingia hofu na kiwango cha Bolt kuwa si kile kilichozoeleka.










AddThis

 
Top