STAA
mkali katika anga la filamu Bongo, Aunt Ezekiel, ameingia katika
malumbano makali kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram na mzazi
mwenzie na Moses Iyobo, Mwengi mpaka kufikia hatua ya kuwaita watoto zao
majina yasiofaa. Chanzo makini kabisa kinadai kuwa hapo awali kabla ya
Aunt kujifungua, Mwengi alitoa tamko kuwa kama staa huyo angejifungua
basi atajifungua chura
STAA mkali katika anga la filamu Bongo, Aunt Ezekiel,
ameingia katika malumbano makali kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram
na mzazi mwenzie, Moses Iyobo, Mwengi mpaka kufikia hatua ya kuwaita
watoto zao majina yasiofaa.
Chanzo makini kabisa kinadai kuwa hapo awali kabla ya Aunt kujifungua, Mwengi alitoa tamko kuwa kama staa huyo angejifungua basi atajifungua chura, kitu ambacho kilimkera sana na kuahidi kuwa atafungua mdomo wake atakapozaa.
Baada ya kusikia madai hayo Amani lilimtafuta Aunt, ambapo alisema kuwa aliamua kusema hivyo kutokana na mtoto wake kuitwa chura.
“ Hivi wewe mtu akuitie mtoto wako chura kweli ungejisikiaje basi nami nikasema kama wangu chura wa kwake panya ili kila mtu auguliwe,” alisema Aunt.
Kwa upande wa Mwengi, alisema;
“ Siwezi kumuita mtoto wa mwanamke mwenzangu hivyo hata siku moja kama kuna sehemu aliona nimeandika hivyo anioneshe maana mimi kwa sasa niko bize na mambo yangu.”