Pamoja
na kipigo hicho, Brazil imempoteza nahodha wake, Neymar ambaye mara baada ya
mechi kwisha aliupiga mpira kwa nguvu kumlenga Pablo Armero.
Kama
hiyo haitoshi, Neymar aliingia kwenye msigano na Jeison Murillo ambaye ndiey
alifunga bao pekee hiyo jana.
NEYMAR AKIUPIGA KWA MAKUSUDI MPIRA AMBAO ULIMPIGA ARMERO... |
Kutokana
na vurugu hizo za Neymar, mchezaji mwingine wa Colombia Carlos Bacca alianza
kugombana na Neymar na kusababisha vurugu kubwa na mwisho wote wakalambwa kadi
nyekundu na mwamuzi Enrique Osses kutoka Chile.
Brazil: Jefferson 6, Alves 6, Silva 6, Miranda 5.5, Filipe Luis 6,
Fernandinho 5.5, Elias 6 (Tardelli 76), Willian 6 (Costa 69, 6), Neymar 4, Fred
5 (Coutinho 46, 5.5), Firmino 5
Subs not used: Luiz, Neto, Marquinhos, Geferson, Fabinho, Ribeiro, Robinho,
Casemiro, Grohe
Booked: Fernandinho, Neymar, Firmino
Sent off: Neymar
Colombia: Ospina 6, Zuniga 6.5, Zapata 7, Murillo 6.5, Armero 7, Sanchez 8,
Valencia 6.5 (Mejia 80), Cuadrado 7, James 8, Teo 7 (Bacca 76), Falcao 5
(Ibarbo 69, 6)
Subs not used: Franco, Arias, Cardona, Vargas, Andrade, Valdes, Murie, Martinez,
Bonilla
Goal: Murillo 36
Booked: Teo
Sent off: Bacca
Ref: Enrique Osses (Chile)