Lwandamina ambaye alikuwepo katika benchi wakati Yanga ikitoka suluhu dhidi ya Singida United kwenye Uwanja wa Namfua mkoani Singida katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, wikiendi iliyopita amesema msiba huo upo nyumbani kwao na ndiyo maana analazimika kuondoka.
Kocha huyo anatarajia kurejea nchini Jumanne ya wiki ijayo nara baada ya kukamilisha tararibu zote za mazishi.
Baada ya kurejea nchini Tanzania, Lwandamina ataiongoza Yanga kukipiga dhidi ya Mbeya City kwenye Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam mnamo Novemba 19.