Brighton Masalu
KUJISHUSHA!
Staa wa filamu Bongo, William Mtitu amesema yupo tayari kumaliza ugomvi
na Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ kutokana na shinikizo kutoka kwa
wasanii wenzake, wadau na mkewe.
Kwa mujibu wa chanzo makini, kikao kizito kikimhusisha Mtitu na
wasanii nguli kiliitishwa na kumuonya juu ya suala hilo kabla ya
kukubali kuwa yuko tayari kumalizana na Steve.
“Kilikuwa ni kikao kizito kaka, Mtitu ‘alipewa vipande’ vyake huku
wasanii wakimpa hasara za mabifu yasiyokuwa na faida na yeye alielewa,
na sasa yuko tayari kwa suluhu,” alisema mmoja wa wasanii mwenye jina
kubwa.
Mwandishi wetu alimtafuta Mtitu ili kusikia chochote kutoka kwake ambapo alisema;...........